KITUO CHA SHERIA NA HAKI ZA BINADAMU
FOMU YA KUOMBA UANACHAMA
Jina la Mwombaji:
Mtu binafsi au shirika:
Anuani kamili ya posta:
Namba ya simu:
Namba ya fax:
Barua pepe (e-mail):
Iwapo ni Shirika, taja jina la msemaji
Shirika.
Tarehe shirika lilipoanzishwa:
Madhumuni ya shirika:
Kazi zinazofanywa na shirika:
Kama mwombaji binafsi; Taja shughuli na sifa zako:
Eleza ujuzi au eneo la Sheria na Haki za Binadamu unalohusika nalo binafsi au kama shirika (iwapo ni shirika):
Taja majina ya watu wawili na anuani zao ambao ni wanachama wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu na wanakufahamu na wako tayari kukudhamini kuwa mwanachama wa kituo:
Margherita
LHRC © 2007  |  About this Site  |  Sitemap  |  Contact
School Joomla Templates and Joomla Tutorials